<?xml version="1.0" encoding="UTF-8"?><song><title>Ni Salama Rohoni Mwangu TZR23</title>
<lyrics>[V1]
 Nionapo amani kama shwari,
 Ama nionapo shida;
 Kwa mambo yote umenijulisha,
 Ni salama rohoni mwangu.

[V2]
 Salama rohoni,
 Ni salama rohoni mwangu.

[V3]
 Ingawa shetani atanitesa,
 Nitajipa moyo kwani
 Kristo ameona unyonge wangu,
 Amekufa kwa roho yangu.

[V4]
 Dhambi zangu zote, wala si nusu,
 Zimewekwa msalabani;
 Wala sichukui laana yake,
 Ni salama rohoni mwangu.

[V5]
 Ee Bwana himiza siku ya kuja,
 Panda itakapolia;
 Utakaposhuka sitaogopa
 Ni salama rohoni mwangu.</lyrics>
<hymn_number>23</hymn_number>
</song>